ILALA WAUNDA KIKOSI CHA WACHEZAJI 120 WA UMITASHUMTA DAR ES SALAAM

NA HERI SHABAN(ILALA)herishaban@gmail.com HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam wameunda kikosi cha wachezaji 120 kwa ajili ya Mashindano ya Umoja wa Shule za Msingi (UMITASHUMTA) Kanda ya Dar es Salaam. Wachezaji hao 120 Wameweka kambi yao ya siku kumi shule Kabby Academy iliyopo Ukonga Wilaya ya Ilala. Akizungumza katika kufunga mashindano ya ngazi ya